Mathayo 23:6
Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And love the uppermost rooms at feasts, and the chief seats in the synagogues,
In Context
7Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’ + 23:7 Rabi maana yake Bwana, Mwalimu.
Cross References
Proverbs 25:6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, 2 wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 1
Mark 12:38Alipokuwa akifundisha, Yesu alisema, “Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni.
Luke 14:7Alipoona jinsi wageni walivyokuwa wanachagua mahali pa heshima wakati wa kula, akawaambia mfano huu:
Romans 12:10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
3 John 1:9Nililiandikia kanisa, lakini Deotrefe, yeye apendaye kujifanya wa kwanza, hakubali mamlaka yetu.