Romans 12:10
Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be kindly affectioned one to another with brotherly love; in honour preferring one another;
In Context
9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.
11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.
Cross References
Genesis 13:9Je, nchi yote haiko mbele yako? Tutengane. Kama ukielekea kushoto, nitakwenda kulia; kama ukielekea kulia, mimi nitakwenda kushoto.”
Psalms 133:1Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza 2 wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja! 1
Matthew 20:26Isiwe hivyo kwenu. Badala yake, yeyote anayetaka kuwa mkuu miongoni mwenu hana budi kuwa mtumishi wenu,
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
John 17:21ili wawe na umoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi nilivyo ndani yako, wao nao wawe ndani yetu, ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ndiye uliyenituma mimi.
Romans 13:7Mlipeni kila mtu kile mnachodaiwa. Kama mnadaiwa kodi lipeni kodi, kama ni ushuru, lipeni ushuru, astahiliye hofu, mhofu, astahiliye heshima, mheshimu. 1 Kupendana Kila Mmoja Na Mwingine