Matthew 24:12
Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.
In Context
11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi.
13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Cross References
James 5:1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.
Revelation 2:10Usiogope mateso yatakayokupata. Nakuambia ibilisi atawatia baadhi yenu gerezani ili kuwajaribu, nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.