Matthew 24:17
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let him which is on the housetop not come down to take any thing out of his house:
In Context
16basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.
18Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Cross References
1 Samuel 9:25Baada ya kushuka kutoka mahali pa juu na kufika mjini, Samweli alizungumza na Sauli juu ya dari ya nyumba yake.
Proverbs 6:4Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1
Matthew 10:27Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinongʼonwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba.
Luke 5:19Walipokuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya umati wa watu, wakapanda juu ya paa, wakaondoa baadhi ya matofali, wakamteremsha yule mgonjwa kwa mkeka wake hadi katikati ya ule umati pale mbele ya Yesu.
Luke 17:31Siku hiyo, mtu yeyote aliye juu ya dari ya nyumba yake, hata vitu vyake vikiwa ndani ya hiyo nyumba, asishuke kuvichukua. Vivyo hivyo mtu aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua chochote.