Mathayo 24:18
Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither let him which is in the field return back to take his clothes.
In Context
17Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba.
19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Cross References
2 Kings 6:28Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’