bible.software › Matthew › Matthew 24 › Matthew 24:32
Matthew 24:32
“Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now learn a parable of the fig tree; When his branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is nigh:
In Context
31Naye atawatuma malaika zake kwa sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho mmoja wa mbingu hadi mwisho mwingine.
33Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni.
Read all of Matthew 24
Cross References
Luke 21:29Akawaambia mfano huu: “Uangalieni mtini na miti mingine yote.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 24:32