Matthew 24:33
Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So likewise ye, when ye shall see all these things, know that it is near, even at the doors.
In Context
34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Cross References
Hebrews 10:37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, 1 “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 2
1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.