Matthew 24:35
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away.
In Context
34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Cross References
Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1
Psalms 89:34Mimi sitavunja agano langu 2 wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 1
Proverbs 30:5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; 2 yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 1
Isaiah 40:8Majani hunyauka na maua huanguka, 2 lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” 1
Isaiah 54:10Ijapotikisika milima, na vilima viondolewe, 2 hata hivyo upendo wangu usiokoma kwenu hautatikisika, 1 wala agano langu la amani halitaondolewa,” 2 asema Bwana, mwenye huruma juu yenu. 1
Jeremiah 31:35Hili ndilo asemalo Bwana, 1 yeye aliyeweka jua 2 liwake mchana, 1 yeye anayeamuru mwezi na nyota 2 kungʼaa usiku, 1 yeye aichafuaye bahari 2 ili mawimbi yake yangurume; 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: 1