Mathayo 24:46
Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed is that servant, whom his lord when he cometh shall find so doing.
In Context
47Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Cross References
Luke 12:37Heri wale watumishi ambao bwana wao atakapokuja atawakuta wakiwa wanakesha. Amin, nawaambia, atajifunga mkanda wake na kuwaketisha ili wale, naye atakuja na kuwahudumia.
Philippians 1:21Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
2 Peter 1:13Naona ni vyema kuwakumbusha mambo haya wakati wote niwapo katika hema hili ambalo ni mwili wangu,
Revelation 16:15“Tazama, naja kama mwizi! Amebarikiwa yeye akeshaye na kuziweka tayari nguo zake ili asiende uchi na kuonekana aibu yake.”