Ufunuo 16:15
“Sikiliza! Mimi naja kama mwizi! Heri mtu akeshaye na kuvaa nguo zake ili asije akaenda uchi huko na huko mbele ya watu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa Kiebrania Harmagedoni.
Cross References
Matthew 25:13Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Mark 13:33Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.
Luke 12:37Heri yao watumishi wale ambao bwana wao atakaporudi atawakuta wanakesha! Nawaambieni hakika, huyo bwana atajifunga mkanda kiunoni, atawaketisha mezani na kuwahudumia.