The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 24 › Matthew 24:5

Matthew 24:5

Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ + 24:5 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. nao watawadanganya wengi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many.

In Context

4Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye.

6Mtasikia habari za vita na matetesi ya vita. Angalieni msitishike, kwa maana haya hayana budi kutukia. Lakini ule mwisho bado.

Read all of Matthew 24

Cross References

Jeremiah 23:21Mimi sikuwatuma manabii hawa, 2 lakini bado wamekimbia wakitangaza ujumbe wao. 1 Mimi sikusema nao, 2 lakini wametabiri. 1

Matthew 24:11Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi.

John 5:43Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei, lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea.

Acts 8:9Basi mtu mmoja jina lake Simoni alikuwa amefanya uchawi kwa muda mrefu katika mji huo akiwashangaza watu wote wa Samaria. Alijitapa kwamba yeye ni mtu mkuu,

Revelation 13:8Nao watu wote waishio duniani watamwabudu huyo mnyama, yaani, wale wote ambao majina yao hayakuandikwa kwenye kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo aliyechinjwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 24:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 24:4Matthew 24Matthew 24:6 →