The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 24 › Matthew 24:6

Matthew 24:6

Mtasikia habari za vita na matetesi ya vita. Angalieni msitishike, kwa maana haya hayana budi kutukia. Lakini ule mwisho bado.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall hear of wars and rumours of wars: see that ye be not troubled: for all these things must come to pass, but the end is not yet.

In Context

5Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ + 24:5 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. nao watawadanganya wengi.

7Taifa litainuka dhidi ya taifa, na ufalme dhidi ya ufalme. Kutakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali.

Read all of Matthew 24

Cross References

Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1

Isaiah 8:12“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, 2 usiogope kile wanachokiogopa, 2 wala usikihofu. 1

Isaiah 26:3Utamlinda katika amani kamilifu 2 yeye ambaye moyo wake ni thabiti 2 kwa sababu anakutumaini wewe. 1

Jeremiah 4:19Ee mtima wangu, mtima wangu! 2 Ninagaagaa kwa maumivu. 1 Ee maumivu makuu ya moyo wangu! 2 Moyo wangu umefadhaika ndani yangu, 2 siwezi kunyamaza. 1 Kwa sababu nimesikia sauti ya tarumbeta, 2 nimesikia kelele ya vita. 1

Jeremiah 8:15Tulitegemea amani, 2 lakini hakuna jema lililokuja, 1 tulitegemea wakati wa kupona, 2 lakini kulikuwa hofu tu. 1

Ezekiel 7:24Nitaleta taifa ovu kuliko yote ili kumiliki nyumba zao, nitakomesha kiburi cha wenye nguvu na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 24:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 24:5Matthew 24Matthew 24:7 →