Mathayo 25:15
Mmoja akampa talanta + 25:15 Talanta moja ilikuwa sawa na mshahara wa kibarua wa miaka 15. tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 18:24Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta + 18:24 Talanta moja ni sawa na mshahara wa kibarua wa miaka 15. 10,000, aliletwa kwake.
Luke 19:13Hivyo akawaita kumi miongoni mwa watumishi wake, na akawapa kila mmoja fungu la fedha. Akawaambia, ‘Fanyeni biashara na fedha hizi mpaka nitakaporudi.’