Luke 12:44
Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of a truth I say unto you, that he will make him ruler over all that he hath.
In Context
43Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Cross References
Matthew 24:47Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Luke 22:29Nami kama Baba yangu alivyonipa ufalme, kadhalika mimi nami ninawapa ninyi,