The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 25 › Matthew 25:4

Matthew 25:4

lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the wise took oil in their vessels with their lamps.

In Context

3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,

5Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.

Read all of Matthew 25

Cross References

Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1

John 1:15Yohana alishuhudia habari zake, akapaza sauti, akisema, “Huyu ndiye yule niliyewaambia kwamba, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu kuniliko mimi, kwa kuwa alikuwepo kabla yangu.’ ”

Romans 8:9Lakini ninyi, hamtawaliwi na mwili, bali na Roho, ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu. Mtu yeyote ambaye hana Roho wa Kristo, yeye si wa Kristo.

Galatians 5:22Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,

1 John 2:27Nanyi, upako mlioupata kutoka kwake unakaa ndani yenu, wala ninyi hamna haja ya mtu yeyote kuwafundisha. Lakini kama vile upako wake unavyowafundisha kuhusu mambo yote nayo ni kweli wala si uongo, basi kama ulivyowafundisha kaeni ndani yake. 1 Watoto Wa Mungu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 25:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 25:3Matthew 25Matthew 25:5 →