Matthew 25:5
Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
While the bridegroom tarried, they all slumbered and slept.
In Context
4lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.
6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’
Cross References
Song of Solomon 3:1Usiku kucha kwenye kitanda changu 2 nilimtafuta yule moyo wangu umpendaye; 2 nilimtafuta, lakini sikumpata. 1
Song of Solomon 5:3Nimevua joho langu: 2 je, ni lazima nivae tena? 1 Nimenawa miguu yangu: 2 je, ni lazima niichafue tena? 1
Habakkuk 2:3Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; 2 unazungumzia mambo ya mwisho, 2 na kamwe hautakosea. 1 Iwapo utakawia, wewe usubiri; 2 kwa hakika utakuja na hautachelewa. 1
Matthew 25:19“Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Matthew 26:43Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito.
Luke 12:45Lakini kama yule mtumishi atasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu anakawia kurudi,’ kisha akaanza kuwapiga wale watumishi wa kiume na wa kike, na kula na kunywa na kulewa.