Matthew 26:13
Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo hii Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.” 1 Yuda Akubali Kumsaliti Yesu (Marko 14:10-11; Luka 22:3-6)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani
Cross References
1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.
Psalms 112:6Hakika hatatikisika kamwe, 2 mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 1
Matthew 24:14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
Mark 13:10Nayo habari njema lazima ihubiriwe kwanza kwa mataifa yote kabla ule mwisho haujawadia.
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Romans 10:18Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: 1 “Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu.”