Warumi 10:18
Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: 1 “Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Cross References
Psalms 19:4Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu. 1 Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 2
Psalms 98:3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Jeremiah 16:19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, 2 kimbilio langu wakati wa taabu, 1 kwako mataifa yatakujia 2 kutoka miisho ya dunia na kusema, 1 “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, 2 sanamu zisizofaa kitu 2 ambazo hazikuwafaidia lolote. 1
Matthew 24:14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
Matthew 28:19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,