Mathayo 26:35
Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo. 1 Yesu Anaomba Gethsemane (Marko 14:32-42; Luka 22:39-46)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Cross References
Exodus 19:8Watu wote wakajibu kwa pamoja, “Tutafanya kila kitu Bwana alichokisema.” Naye Mose akarudisha majibu yao kwa Bwana.
Proverbs 29:23Kiburi cha mtu humshusha, 2 bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu 2 hupata heshima. 1
John 13:37Petro akamuuliza tena, “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Mimi niko tayari kuutoa uhai wangu kwa ajili yako.”
1 Corinthians 10:12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
1 Peter 1:17Kwa sababu mnamwita Baba ahukumuye kila mtu kulingana na matendo yake pasipo upendeleo, enendeni kwa hofu ya kumcha Mungu wakati wenu wa kukaa hapa duniani kama wageni.