Mathayo 26:43
Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he came and found them asleep again: for their eyes were heavy.
In Context
44Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.
Cross References
Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
Acts 20:9Kijana mmoja jina lake Eutiko, alikuwa amekaa dirishani, wakati Paulo alipokuwa akihubiri kwa muda mrefu, alipatwa na usingizi mzito, akaanguka kutoka ghorofa ya tatu, wakamwinua akiwa amekufa.
1 Thessalonians 5:6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi.