Matthew 26:45
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.
Cross References
Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1
Matthew 26:14Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani
Mark 14:41Akaja mara ya tatu, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Imetosha! Saa imewadia. Tazameni, Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.
John 12:27“Sasa roho yangu imefadhaika sana. Niseme nini? ‘Baba, niokoe katika saa hii.’ Lakini ni kwa kusudi hili nimeufikia wakati huu.
John 17:1Baada ya Yesu kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.