Matthew 26:48
Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49Mara Yuda akamjia Yesu na kumsalimu, “Salamu, Rabi!” Akambusu.
Cross References
2 Samuel 3:27Basi Abneri aliporudi Hebroni, Yoabu akamchukua kando ndani ya lango, kama vile kuzungumza naye faraghani. Ili kulipiza kisasi damu ya nduguye Asaheli, Yoabu akamchoma mkuki tumboni palepale, naye akafa.
Psalms 28:3Usiniburute pamoja na waovu, 2 pamoja na hao watendao mabaya, 1 ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, 2 lakini mioyoni mwao wameficha chuki. 1
Mark 14:44Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.”