Matthew 26:49
Mara Yuda akamjia Yesu na kumsalimu, “Salamu, Rabi!” Akambusu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And forthwith he came to Jesus, and said, Hail, master; and kissed him.
In Context
48Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni.”
Cross References
1 Samuel 10:1Ndipo Samweli akachukua chupa ndogo ya mafuta na kuyamimina juu ya kichwa cha Sauli, akambusu, akisema, “Je, Bwana hakukutia mafuta uwe kiongozi juu ya watu wake Israeli?
Proverbs 27:6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, 2 bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 1
Matthew 27:29wakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”
Mark 15:18Wakaanza kumsalimu kwa dhihaka, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”
John 19:3Wakawa wanapanda pale alipo tena na tena, wakisema, “Salamu! Mfalme wa Wayahudi!” Huku wakimpiga makofi usoni.