Matthew 26:7
naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa; akayamimina kichwani mwa Yesu alipokuwa ameketi mezani kula chakula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,
8Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini?
Cross References
Psalms 133:2Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani, 2 yakitiririka kwenye ndevu, 1 yakitiririka kwenye ndevu za Aroni, 2 mpaka kwenye upindo wa mavazi yake. 1
Ecclesiastes 10:1Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, 2 ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 1
Isaiah 57:9Ulikwenda kwa Moleki + 57:9 Moleki alikuwa mungu aliyekuwa anaabudiwa na Waamoni; pia alijulikana kama Malkomu, Maloki au Kemoshi wa Moabu. ukiwa na mafuta ya zeituni, 2 na ukaongeza manukato yako. 1 Ukawatuma wajumbe wako mbali sana, 2 ukashuka kwenye kaburi + 57:9 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. lenyewe! 1
Luke 7:46Hukunipaka mafuta kichwani mwangu, lakini yeye ameipaka miguu yangu manukato.