Mathayo 27:11
Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno.
Cross References
Matthew 10:18Nanyi mtaburutwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, ili kuwa ushuhuda kwao na kwa watu wa Mataifa.
Matthew 26:25Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, akasema, “Je, ni mimi Rabi?” Yesu akajibu, “Naam, wewe mwenyewe umesema.” 1 Kuanzishwa Kwa Meza Ya Bwana (Marko 14:22-26; Luka 22:14-20; 1 Wakorintho 11:23-25)
Mark 14:62Yesu akajibu, “Mimi ndimi. Nanyi mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni.”
Luke 23:2Nao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo, + 23:2 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. mfalme.”
1 Timothy 6:13Nakuagiza mbele za Mungu avipaye vitu vyote uhai, na mbele za Kristo Yesu ambaye alipokuwa anashuhudia mbele ya Pontio Pilato alikiri ukiri mzuri,