The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 27 › Matthew 27:41

Matthew 27:41

Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria pamoja na wazee wakamdhihaki wakisema,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Likewise also the chief priests mocking him, with the scribes and elders, said,

In Context

40na kusema, “Wewe ambaye utalivunja Hekalu na kulijenga kwa siku tatu, jiokoe mwenyewe basi! Kama wewe ni Mwana wa Mungu, shuka kutoka msalabani.”

42“Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni Mfalme wa Israeli! Ashuke sasa kutoka msalabani, nasi tutamwamini.

Read all of Matthew 27

Cross References

Psalms 22:12Mafahali wengi wamenizunguka, 2 mafahali wa Bashani wenye nguvu 2 wamenizingira. 1

Isaiah 28:22Sasa acheni dharau zenu, 2 la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. 1 Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia 2 habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. 1

Zechariah 11:8Katika mwezi mmoja nikawaondoa wachungaji watatu. Kundi la kondoo likanichukia, nami nikachoshwa nao,

Luke 18:32Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa watu wasiomjua Mungu, nao watamdhihaki, watamtukana na kumtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua.

Luke 23:35Watu wakasimama hapo wakimwangalia, nao viongozi wa Wayahudi wakamdhihaki wakisema, “Aliokoa wengine! Ajiokoe mwenyewe basi, kama yeye ndiye Kristo wa Mungu, Mteule wake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 27:41

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 27:40Matthew 27Matthew 27:42 →