bible.software › Matthew › Matthew 27 › Matthew 27:47
Matthew 27:47
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Some of them that stood there, when they heard that, said, This man calleth for Elias.
In Context
46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
48Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe.
Read all of Matthew 27
Cross References
Matthew 11:14Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 27:47