Matthew 27:48
Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
47Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.”
49Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.”
Cross References
Psalms 69:21Waliweka nyongo katika chakula changu 2 na walinipa siki nilipokuwa na kiu. 1
Luke 23:36Askari nao wakaja, wakamdhihaki. Wakamletea siki ili anywe,