Matthew 27:52
Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the graves were opened; and many bodies of the saints which slept arose,
In Context
Cross References
Isaiah 26:19Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1
Hosea 13:14“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi, 2 nitawakomboa kutoka mautini. 1 Yako wapi, ee mauti, mateso yako? 1 Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako? 1 “Sitakuwa na huruma, 2
Acts 7:60Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema hayo, akalala.
1 Corinthians 15:20Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala.
1 Thessalonians 4:14Kwa kuwa tunaamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka, na kwa hivyo, Mungu kwa njia ya Yesu atawafufua pamoja naye wale waliolala mautini ndani yake.