bible.software › Mathayo › Mathayo 27 › Mathayo 27:55
Mathayo 27:55
Walikuwako wanawake huko wakiangalia kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Yesu tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And many women were there beholding afar off, which followed Jesus from Galilee, ministering unto him:
In Context
54Basi yule jemadari na wale waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu walipoona lile tetemeko na yale yote yaliyokuwa yametukia, waliogopa, wakasema, “Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”
56Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yosefu, na mama yao wana wa Zebedayo. 1 Maziko Ya Yesu (Marko 15:42-47; Luka 23:50-56; Yohana 19:38-42)
Read all of Mathayo 27
Cross References
Luke 8:2pia baadhi ya wanawake waliokuwa wametolewa pepo wachafu na kuponywa magonjwa. Miongoni mwao alikuwepo Maria Magdalene, aliyetolewa pepo wachafu saba;
Luke 23:48Watu wote waliokuwa wamekusanyika hapo kushuhudia tukio hili walipoyaona hayo, wakapigapiga vifua vyao kwa huzuni na kwenda zao.
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 27:55