bible.software › Mathayo › Mathayo 28 › Mathayo 28:11
Mathayo 28:11
Wakati wale wanawake walikuwa njiani wakienda, baadhi ya wale askari waliokuwa wakilinda kaburi walienda mjini na kuwaeleza viongozi wa makuhani kila kitu kilichokuwa kimetukia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now when they were going, behold, some of the watch came into the city, and shewed unto the chief priests all the things that were done.
In Context
10Ndipo Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.” 1 Taarifa Ya Walinzi
12Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kutunga hila, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Read all of Mathayo 28
Cross References
Matthew 27:65Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadri mwezavyo.”
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 28:11