Matthew 28:10
Ndipo Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.” 1 Taarifa Ya Walinzi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 103:8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; 2 si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 1
Matthew 14:27Lakini mara Yesu akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope.”
Matthew 25:45“Naye atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi ambavyo hamkumtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’
Matthew 28:7Kisha nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba, ‘Amefufuka kutoka kwa wafu, naye awatangulia kwenda Galilaya. Huko ndiko mtamwona. Sasa nimekwisha kuwaambia.’ ”
Mark 16:7Lakini nendeni mkawaambie wanafunzi wake pamoja na Petro, kwamba, ‘Anawatangulia kwenda Galilaya. Huko ndiko mtamwona, kama alivyowaambia.’ ”
John 6:20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”