Matthew 28:13
wakiwaambia, “Inawapasa mseme, ‘Wanafunzi wake walikuja wakati wa usiku na kumwiba sisi tulipokuwa tumelala.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, Say ye, His disciples came by night, and stole him away while we slept.
In Context
14Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.”