bible.software › Mathayo › Mathayo 28 › Mathayo 28:14
Mathayo 28:14
Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if this come to the governor’s ears, we will persuade him, and secure you.
In Context
13wakiwaambia, “Inawapasa mseme, ‘Wanafunzi wake walikuja wakati wa usiku na kumwiba sisi tulipokuwa tumelala.’
15Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha nao wakafanya kama walivyoelekezwa. Habari hii imeenea miongoni mwa Wayahudi mpaka leo. 1 Yesu Awatuma Wanafunzi Wake (Marko 16:14-18; Luka 24:36-49; Yohana 20:19-23; Matendo 1:6-8)
Read all of Mathayo 28
Cross References
Matthew 27:2Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala wa Kirumi. 1 Yuda Ajinyonga (Matendo 1:18-19)
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 28:14