Mathayo 4:15
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, 2 kwenye njia ya kuelekea baharini, 1 ngʼambo ya Yordani, 2 Galilaya ya watu wa Mataifa: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema: 1
Cross References
Joshua 21:32Kutoka kabila la Naftali walipewa, 4 Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano.
2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.