The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 4 › Matthew 4:16

Matthew 4:16

watu wale waliokaa gizani 2 wameona nuru kuu; 1 nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up.

In Context

15“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, 2 kwenye njia ya kuelekea baharini, 1 ngʼambo ya Yordani, 2 Galilaya ya watu wa Mataifa: 1

17Tangu wakati huo, Yesu alianza kuhubiri akisema: “Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 1 Yesu Awaita Wanafunzi Wake Wa Kwanza (Marko 1:16-20; Luka 5:1-11)

Read all of Matthew 4

Cross References

Job 3:5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1

Job 34:22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, 2 ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 1

Psalms 107:10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, 2 wafungwa wakiteseka katika minyororo, 1

Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1

Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1

Micah 7:8Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu! 2 Ingawa nimeanguka, nitainuka. 1 Japo ninaketi gizani, 2 Bwana atakuwa nuru yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 4:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 4:15Matthew 4Matthew 4:17 →