Matthew 4:22
Nao mara wakaiacha mashua yao, pamoja na baba yao, wakamfuata. 1 Yesu Ahubiri Na Kuponya Wagonjwa (Luka 6:17-19)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they immediately left the ship and their father, and followed him.
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:9Alinena hivi kuhusu baba yake na mama yake, 2 ‘Mimi siwahitaji kamwe.’ 1 Akawasahau jamaa zake, 2 asiwatambue hata watoto wake, 1 lakini akaliangalia neno lako 2 na kulilinda Agano lako. 1
Mark 1:20Papo hapo akawaita, nao wakamwacha Zebedayo baba yao kwenye mashua pamoja na watumishi wa kuajiriwa, nao wakamfuata Yesu. 1 Yesu Amtoa Pepo Mchafu (Luka 4:31-37)
Luke 14:26“Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.
2 Corinthians 5:16Hivyo tangu sasa hatumwangalii mtu yeyote kwa mtazamo wa kibinadamu. Ingawa wakati fulani tulimwangalia Kristo kwa namna ya kibinadamu, hatumwangalii tena hivyo.