Matthew 4:6
akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: 1 “ ‘Atakuagizia malaika zake, 2 nao watakuchukua mikononi mwao 1 ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Ndipo ibilisi akamchukua Yesu mpaka mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu,
7Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
Cross References
Job 5:23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, 2 nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe. 1
Psalms 34:20huhifadhi mifupa yake yote, 2 hata mmoja hautavunjika. 1
Matthew 4:4Lakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”
2 Corinthians 11:14Wala hii si ajabu, kwa kuwa hata Shetani mwenyewe hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru.