The Bible Software
bible.software › Mathayo › Mathayo 4 › Mathayo 4:7

Mathayo 4:7

Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Jesus said unto him, It is written again, Thou shalt not tempt the Lord thy God.

In Context

6akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: 1 “ ‘Atakuagizia malaika zake, 2 nao watakuchukua mikononi mwao 1 ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”

8Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake,

Read all of Mathayo 4

Cross References

Exodus 17:2Kwa hiyo wakagombana na Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akajibu, “Mbona mnagombana nami? Kwa nini mnamjaribu Bwana?”

Numbers 14:22hakuna hata mmoja wa watu hawa ambao waliuona utukufu wangu na ishara za miujiza niliyotenda huko Misri na huko jangwani, lakini ambaye hakunitii na akanijaribu mara hizi kumi,

Psalms 78:18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, 2 wakidai vyakula walivyovitamani. 1

Psalms 78:56Lakini wao walimjaribu Mungu, 2 na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, 2 wala hawakuzishika sheria zake. 1

Psalms 106:14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, 2 walimjaribu Mungu nyikani. 1

Malachi 3:15Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 4:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 4:6Mathayo 4Mathayo 4:8 →