Matthew 4:9
kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1
Jeremiah 27:5Kwa uwezo wangu mkuu na kwa mkono wangu ulionyooshwa nimeumba dunia na watu wake na wanyama walioko ndani yake, nami humpa yeyote inipendezavyo.
Daniel 4:32Utafukuzwa mbali na wanadamu, ukaishi pamoja na wanyama pori, na utakula manyasi kama ngʼombe. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.”
Daniel 5:26“Hii ndiyo maana ya maneno haya: 1 “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 1
John 12:31Sasa ni saa ya hukumu kwa ajili ya ulimwengu huu, sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.