Matthew 5:25
“Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. 1 Kuhusu Uzinzi
Cross References
Genesis 32:13Akalala pale usiku ule, miongoni mwa vitu alivyokuwa navyo, akachagua zawadi kwa ajili ya Esau ndugu yake:
1 Samuel 25:17Sasa fikiri juu ya jambo hili na uone unaweza kufanya nini, kwa sababu maafa yanakaribia juu ya bwana wetu na nyumba yake yote. Yeye ni mtu mwovu kiasi kwamba hakuna mtu awezaye kuzungumza naye.”
Job 22:21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1
Proverbs 6:1Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, 2 ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi 2 kwa ajili ya mwingine, 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1
Luke 13:24Yesu akawaambia, “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.