Mathayo 5:26
Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. 1 Kuhusu Uzinzi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’
Cross References
Matthew 18:34Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.
Matthew 25:46“Ndipo hawa watakapoingia kwenye adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.”
Luke 16:26Zaidi ya hayo, kati yetu na ninyi huko kumewekwa shimo kubwa, ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko wasiweze, wala mtu yeyote asiweze kuvuka kutoka huko kuja kwetu.’
James 2:13Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu. 1 Imani Na Matendo