Matthew 5:37
‘Ndiyo’ yenu iwe ‘Ndiyo,’ na ‘Hapana’ yenu iwe ‘Hapana.’ Lolote zaidi ya hili latoka kwa yule mwovu. 1 Kuhusu Kulipiza Kisasi (Luka 6:29-30)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But let your communication be, Yea, yea; Nay, nay: for whatsoever is more than these cometh of evil.
In Context
36Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
38“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’
Cross References
Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’
Matthew 13:38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
John 8:44Ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.
2 Corinthians 1:17Nilipopanga jambo hili, je, nilikuwa kigeugeu? Au ninafanya mipango yangu kwa hali ya mwili, ili niseme, “Ndiyo, ndiyo” na “Siyo, siyo” wakati huo huo?
Colossians 3:9Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
2 Thessalonians 3:3Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu.