Matthew 13:38
Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu.
39Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.
Cross References
Psalms 22:30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; 2 vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 1
Hosea 2:23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; 2 nami nitaonyesha pendo langu kwake 2 yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu. + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ruhama.’ 1 Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’ + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ami. 2 ‘Ninyi ni watu wangu’; 2 nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”
Matthew 13:19Mtu yeyote anaposikia neno la Ufalme naye asilielewe, yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake. Hii ndiyo ile mbegu iliyopandwa kando ya njia.
Matthew 28:18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Luke 24:47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.
John 8:44Ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.