Matthew 5:6
Heri wenye njaa na kiu ya haki, 2 maana hao watatoshelezwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed are they which do hunger and thirst after righteousness: for they shall be filled.
In Context
5Heri walio wapole, 2 maana hao watairithi nchi. 1
7Heri wenye huruma, 2 maana hao watapata rehema. 1
Cross References
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Psalms 42:1Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, 2 ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu. 1
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1
Psalms 84:2Nafsi yangu inatamani sana, 2 naam, hata kuona shauku, 2 kwa ajili ya nyua za Bwana; 1 moyo wangu na mwili wangu 2 vinamlilia Mungu Aliye Hai. 1
Psalms 145:19Huwatimizia wamchao matakwa yao, 2 husikia kilio chao na kuwaokoa. 1
Isaiah 25:6Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa 2 karamu ya vinono kwa mataifa yote, 1 karamu ya mvinyo wa zamani, 2 nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. 1