The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 5 › Matthew 5:7

Matthew 5:7

Heri wenye huruma, 2 maana hao watapata rehema. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed are the merciful: for they shall obtain mercy.

In Context

6Heri wenye njaa na kiu ya haki, 2 maana hao watatoshelezwa. 1

8Heri walio na moyo safi, 2 maana hao watamwona Mungu. 1

Read all of Matthew 5

Cross References

2 Samuel 22:26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 1

Psalms 18:25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia. 1

Psalms 41:1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, 2 Bwana atamwokoa wakati wa shida. 1

Psalms 112:9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele; 2 pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 1

Proverbs 14:21Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, 2 bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. 1

Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 5:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 5:6Matthew 5Matthew 5:8 →