Matthew 6:12
Utusamehe deni zetu, 2 kama sisi nasi tulivyokwisha 2 kuwasamehe wadeni wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And forgive us our debts, as we forgive our debtors.
In Context
11Utupatie riziki yetu 2 ya kila siku. 1
Cross References
1 Kings 8:30Usikie maombi ya mtumishi wako na ya watu wako Israeli wakati wanapoomba kuelekea mahali hapa. Sikia kutoka mbinguni, mahali pa makao yako na usikiapo, samehe.
1 Kings 8:39basi usikie kutoka mbinguni, katika makao yako. Usamehe na utende, umpe kila mtu kulingana na matendo yake, kwa kuwa unaujua moyo wake (kwa kuwa ni wewe peke yako ujuaye mioyo ya watu wote),
Nehemiah 5:12Wakasema, “Tutawarudishia na hatutataka kitu chochote zaidi kutoka kwao. Tutafanya kama ulivyosema.” Kisha nikawaita makuhani na kuwafanya wakuu na maafisa kuapa kufanya kile walichoahidi.
Psalms 130:4Lakini kwako kuna msamaha, 2 kwa hiyo wewe unaogopwa. 1
Daniel 9:19Ee Bwana, sikiliza! Ee Bwana, samehe! Ee Bwana, sikia na ukatende! Kwa ajili yako, Ee Mungu wangu, usikawie, kwa sababu mji wako na watu wako wanaitwa kwa Jina lako.” 1 Majuma Sabini
Matthew 18:21Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?”