Matthew 6:14
Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For if ye forgive men their trespasses, your heavenly Father will also forgive you:
In Context
Cross References
Proverbs 21:13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1
Matthew 7:2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
Mark 11:25Nanyi kila msimamapo kusali, sameheni mkiwa na neno na mtu, ili naye Baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu. [
Colossians 3:13Vumilianeni na kusameheana mtu akiwa na lalamiko lolote dhidi ya mwenzake. Sameheaneni kama vile Bwana alivyowasamehe ninyi.
1 John 3:10Kwa jinsi hii tunaweza kujua dhahiri watoto wa Mungu na pia watoto wa ibilisi. Yeyote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake. 1 Mpendane Ninyi Kwa Ninyi