Mathayo 6:15
Lakini msipowasamehe watu wengine makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. 1 Kuhusu Kufunga
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if ye forgive not men their trespasses, neither will your Father forgive your trespasses.
In Context
14Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.