Matthew 6:34
Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.
Cross References
Exodus 16:18Nao walipopima katika pishi, yule aliyekusanya zaidi hakuwa na ziada, wala aliyekusanya kidogo hakupungukiwa. Kila mmoja alikusanya kiasi alichohitaji.
1 Kings 17:4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
2 Kings 7:1Elisha akasema, “Sikiliza neno la Bwana. Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja + 7:1 Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3. cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha, + 7:1 Shekeli moja ya fedha ni sawa na gramu 11. na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.”
Matthew 6:11Utupatie riziki yetu 2 ya kila siku. 1
Luke 11:3Utupatie kila siku riziki yetu. 1
John 16:33Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”